الترجمة السواحلية - علي محسن البرواني
ترجمها علي محسن البرواني.
قُلۡ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلۡفَلَقِ
Sema: Najikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko, [1]
[1] Sema najikinga na Mola Mlezi wa asubuhi inapo pambazuka kutokana na usiku.
Sema: Najikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko, [1]
مِن شَرِّ مَا خَلَقَ
Na shari ya alivyo viumba, [2]
[2] Na shari ya kila chenye shari katika viumbe, ambavyo hapana wa kuzuia shari yao ila Mwenye kumiliki amri yao.
Na shari ya alivyo viumba, [2]
وَمِن شَرِّ غَاسِقٍ إِذَا وَقَبَ
Na shari ya giza la usiku liingiapo, [3]
[3] Na shari ya usiku unapo kuwa totoro.
Na shari ya giza la usiku liingiapo, [3]
وَمِن شَرِّ ٱلنَّفَّٰثَٰتِ فِي ٱلۡعُقَدِ
Na shari ya wanao pulizia mafundoni, [4]
[4] Na shari ya anaye pita baina ya watu kwa sababu ya kuwafisidi.
Na shari ya wanao pulizia mafundoni, [4]
وَمِن شَرِّ حَاسِدٍ إِذَا حَسَدَ
Na shari ya hasidi anapo husudu. [5]
[5] Na shari ya hasidi anaye tamani iondoke neema kwa wengine.
Na shari ya hasidi anapo husudu. [5]
مشاركة عبر